Exodus 27:1-2

Madhabahu Ya Sadaka Ya Kuteketezwa

(Kutoka 38:1-7)

1 a“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu;
Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35.
itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano,
Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25.
na upana wake dhiraa tano.
2 dTengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu ziwe zimeungana, na ufunike madhabahu kwa shaba.
Copyright information for SwhKC